Baharia haruhusiwi kusomesha mwanamke labda iwe cherehani au mafundisho ya dini

Baharia haruhusiwi kusomesha mwanamke labda iwe cherehani au mafundisho ya dini

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi mabaharia

Nimewaita kwa kikao cha dharura.

Naomba tuwekane sawa mabaharia.

Kwa hizi siku chache kumetokea mabaharia fulani ambao wanaharibu chama chetu kwa kuwamiminia wachumba zao shaba.

Baharia ukiua unakua umekiuka katiba, katiba ya Mungu, ya Rais Magufuri na yetu sisi mabaharia hairuhusu kuua.

Sasa basi mabaharia wenzangu ni marufuku kwa baharia kusomesha mwanamke.

Kitendo cha baharia kumsomesha mwanamke unakuwa tayari ushajivua kwenye chama mara moja.

Mwanamke hasomeshwi baharia.

Kusomesha ni jukumu la mzazi.

Baharia mwanamke msomeshe cherehani au mafundisho ya dini.

LONDON BOY
 
Baharia hatakiwi kuua mana papuchi na hela vipi vingi
 
Mie wangu tulikubaliana kumwendeleza kielimu baada ya kuoa kabisa, vinginevyo ni ujuha kusomesha mchumba...
 
Amani iwe nanyi mabaharia

Nimewaita kwa kikao cha dharula.

Naomba tuwekane sawa mabaharia.

Kwa hizi siku chache kumetokea mabaharia fulani ambao wanaharibu chama chetu kwa kuwamiminia wachumba zao shaba.

Baharia ukiua unakua umekiuka katiba, katiba ya Mungu, ya Rais Magufuri na yetu sisi mabaharia hairuhusu kuua.

Sasa basi mabaharia wenzangu ni marufuku kwa baharia kusomesha mwanamke.

Kitendo cha baharia kumsomesha mwanamke unakuwa tayari ushajivua kwenye chama maramoja.

Mwanamke hasomeshwi baharia.

Kusomesha ni jukumu la mzazi.

Baharia mwanamke msomeshe cherehani au mafundisho ya dini.

LONDON BOY
Hata huko kwenye shule ya cherehani unaporwa vilevile
 
Back
Top Bottom