Kijanammoja alienda kusomea kazi ya baharia baada ya miaka mitatu akarudi kuja kusalimu home baba kwafuraha akaamua kumtoa out. wakiwa njiani wanatembea kijana akaanza mikogo, akawa anatembea akiyumba yumba, baba akashangaa akamuuliza kulikoni tena..
Mwanangu. MTOTO: aababa ubaharia, nimezowea mawimbi siunajua tena, BABA: mbona mimi niko kwenyendoa na mamayako kwa miaka hamsini mbona sitembei hivi, baba akaanza kukata kiuno kama ana sex mtoto kuonahivyo akatimua mbio. {chezea baba wewe?}