Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ila tuache utaniZingatia kula vyakula vya asili achana na machips sijui mapizza huko mara maburger ....
Zingitien vyakula sana.hata kama maisha yanchangia lkni chakula kiwe mkombozi kwa % fulani.
Chicken pizza ni tamu sana, sijui naiachaje