Baharia usijibu hizi text, Utanishukuru baadae

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu.

Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie mada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.
"mwambie simu unakata chaji"
"Babe,,, Ntakucheki dk 0 network inazingua"
"Oya kuna simu ya dingi inaingia"

simu.jpg
 
"Oya kuna simu ya gingi inaingia"

View attachment 1256415
Son go to work, hayo yote ni defense mechanism, kwasababu huna hela ndo uje kututangazia njaa zako kwa kuepuka majukumu, NENDA KAFANYE KAZI, mizinga ni sehemu za maisha
 
Ulikiwa umepigilia sana chief....
Ulikuwa umependeza hatari, maana sio kwa namba 8 ile ulivyo ijaza kwenye jeans...[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Muone
 
Back
Top Bottom