Baharia usijibu hizi text, Utanishukuru baadae

Baharia usijibu hizi text, Utanishukuru baadae

Mi siogopi kuombwa hela na mwanamke, kwani nitampa pale tu ntakapoona inafaa kumpa na hela ninazo.

Vinginevyo nakuwa na jibu simple.


"Nimefulia baby"
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.


KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu.

Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie mada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako.
"mwambie simu unakata chaji"
"Babe,,, Ntakucheki dk 0 network inazingua"
"Oya kuna simu ya dingi inaingia"

View attachment 1256415
 
Dah! Kuna viumbe vinatokana na neno kuumba,namaanisha vimeumbwa..
Hata kama huna utakopa
 
Wanawake wanaomba sana hela, unakuta mwingine anafanya kazi nzuri tu.
Mkija kwenye majukwaa mnataka haki sawa, kwenye matumizi mnatumbia"wewe ni mwanaume utoe wewe "
 
Serious mkuu, niliona kupitia sim yako ya mkononi unavyo comment humu ndani.
By the way, you are one of the beautiful Ke from Jf
usiniambie ushamfumania yna2 kwenye mwendokasi

anapandaga ya kutokea wapi mkuu namimi nianze kuvizia

halafu tabia yako ya kuchungulia simu za watu iache mkuuu

mi ndio mana siku hizi sina uhuru na simu yangu kabisa

maana nikitoa simu mtu akiniangalia nahisi litakua jamaa la JF nini (nairudisha kwanza)

Tupeane location ulizomuotea huyu kiumbe mkuu,sema chungulia chungulia yako "this time around imeleta manufaa"
 
Back
Top Bottom