Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.

Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.

Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

Stress na Upweke labdaaa
 
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.

Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

tatizo la Afya ya akili ni pamoja na muhusika kuwaza, kufanya uamuzi na kujitendea jambo ambalo litamuathiri na kumdhuru yeye mwenyewe binafsi,

aende anapostahili 🐒
 
Dah Baharia tena anajinyonga?

Siku hizi melini hakuna stress kama zile zama za zamani unakaa kwenye mnemba hata 6month, siku hizi makampuni yanayojielewa umekaa sana melini 3 month.
Siku hizi meli za kisasa hazichukui siku nyingi sanaa port to port kama miaka yetu ya ubaharia.

Ukiyakubali maisha ya kibaharia na ukiwa kwenye shipping line za kueleweka hakuna stress maana hela ipo chuma likiwa ankorage mnashuka tu kwenda kutafuta malaya uraiani, nchi kama phillipine pale Manila na Greece malaya wanakuja wenyewe na viboti out-ankor kuwachukua.
Siku hizi crews Wafilipino, wahindi, waarabu wameharibu sana kazi na hata shipping line za Saudia, India, UAE, Iran nk changamoto sana Baharia anaweza kukaa melini miezi hata sita, mshahara, allowance changamoto.
 
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.

Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.

RIP
 
Hizi taarifa chanzo chake ni kipi?
Juzi taarifa kama hii hii inasema Kajinyonya Sweden kwenye meli, leo inasema Uholanzi.
Wote ni wenyeji wa Moshi wenye majina yale yale.
Usahihi wake ukoje?
Kanyongwa na mabeberu huyo
 
Back
Top Bottom