Mzee baba naomba connection za kupata mbususu mjiniAnyway! Apumzike Kwa amani kamanda
Stress na Upweke labdaaaMtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.
Tanzanian Sailor alleged to Commit Suicide aboard a ship in the Netherlands
Reports which were made available to The Tanzania Times over the weekend indicate that the late Fadhil Omar had hanged himself in the Rawabi ship’s cabin as the vessel docked at the Port of Rotterdam.tanzaniatimes.net
tatizo la Afya ya akili ni pamoja na muhusika kuwaza, kufanya uamuzi na kujitendea jambo ambalo litamuathiri na kumdhuru yeye mwenyewe binafsi,Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.
Tanzanian Sailor alleged to Commit Suicide aboard a ship in the Netherlands
Reports which were made available to The Tanzania Times over the weekend indicate that the late Fadhil Omar had hanged himself in the Rawabi ship’s cabin as the vessel docked at the Port of Rotterdam.tanzaniatimes.net
Kwamba kuna Watanzania wa asili kabisa hawajinyongi au wewe ni mtoto wa mama!?Atakuwa na asili ya Somalia
Tafuta connection za Hela, mademu wapo tu utatafuna wenye kila vigezo kikubwa uwe vizuri kiuchumiMzee baba naomba connection za kupata mbususu mjini
RIPMtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga.
Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro.
Tanzanian Sailor alleged to Commit Suicide aboard a ship in the Netherlands
Reports which were made available to The Tanzania Times over the weekend indicate that the late Fadhil Omar had hanged himself in the Rawabi ship’s cabin as the vessel docked at the Port of Rotterdam.tanzaniatimes.net
Upweke wa vipi tena? Baharia mzima atakosaje milioni zake kadha za kumpa dem wa kizungu na kutembea nae melini popote aendapo? Au Sheria haziruhusu?Stress na Upweke labdaaa
Kanyongwa na mabeberu huyoHizi taarifa chanzo chake ni kipi?
Juzi taarifa kama hii hii inasema Kajinyonya Sweden kwenye meli, leo inasema Uholanzi.
Wote ni wenyeji wa Moshi wenye majina yale yale.
Usahihi wake ukoje?