Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

Upweke wa vipi tena? Baharia mzima atakosaje milioni zake kadha za kumpa dem wa kizungu na kutembea nae melini popote aendapo? Au Sheria haziruhusu?
Hahahahahhq kirahisi hivyo baharia asiye na shule ya ubaharia wanakuwa vibarua tu kugonga kutu kwenye meli hawa sio maafisa wa navigation....kazi zao ngumu engine room huko au kugonga kutu....sikia tu...sheria hairuhusu wakifika destination port siku 3 kwanza wanashuka casino....nakumbuka biashara ya mabaharia iliharibiwa na wafanyakazi toka burma huko na asia kwa ujumla....bei zao ndogo sana na wako wengi sanaa.....meli nyingi zinachukua huko bei poa....wao.wanataka wali tu na posho kidogo
 
Nimekupata sanaa baharia....wafilipino na burma wameharibu sanaa biashara hiyo mabaharia..
 
Asante kwa elimu nzuri imeleta mwangaza
 
Kazi siku hizi imekuwa siyo kabisa labda upate makampuni ya maana hasa, North American au Nordic poa.
 
Hiyo taarifa muandishi ilibidi afatilie kwa kina. Huyo Kijana ni kweli alijinyonga mwaka Jana na chanzo ilikuwa yupo melini akapewa taarifa za Baba yake kuwa anaumwa sana na anaenda kufanyiwa operation. Alipoomba ruhusa hakupewa maana alikuwa kapanda melini kakaa wiki 2 tu, kampuni ikatoa taarifa gharama za kuondoka na kurudi atajigharamia maana kakaa kazini muda mfupi. Baada ya siku chache akatoa taarifa ya kujisikia vibaya na wakamkuta kajinyonga.

Walizika mwaka jana, na Mama yake mzazi yupo Sinza. Hilo Tukio halijatokea Ulaya ilikuwa ni Saudi Arabia mwaka jana mwezi wa 2 kwenye tarehe 14 au 15.

Na hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda melini.
R.I.P Omary
 
Apumzike panapomstahili
 
Hakuna msomali anaitwa Fadhili.Huyo ni mchagga mmachame au mpare
Baba yake ni mtu wa Mombasa,Mama yake ni Mtu wa Arusha. Huyu alizaliwa Tanzania na amekulia Hapa hapa Tanzania. Hilo jina la ukoo ni upande wa Mama yake Mzazi
 
Hizi taarifa chanzo chake ni kipi?
Juzi taarifa kama hii hii inasema Kajinyonya Sweden kwenye meli, leo inasema Uholanzi.
Wote ni wenyeji wa Moshi wenye majina yale yale.
Usahihi wake ukoje?
Ilikuwa UAE, ni mwaka jana. Mtoa taarifa kuna taarifa kakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…