warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Muimbaji maarufu nchini wa nyimbo za injili
nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa
katika gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na
kugonga gema, baada ya kugongwa na gari
lingine linalosemekana kuwa ni fuso.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi watu
wengine waliojeruhiwa kwenye ajali hiyo mbali
na Bahati Bukuku ni watu wawili na gari
lililopata ajali na kusababisha majeraha
kwa watu hao ni Toyota Nadia yenye namba za
usajili IT 7945.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
David Misime amesema ajali hiyo imetokea july
25 saa tatu 9:00 alfajiri katika Barabara ya
Morogoro Dodoma eneo la Ranch ya NARCO
wilayani Kongwa.