Bahati Bukuku mgonjwa

Bahati Bukuku mgonjwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.

Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
 
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.
Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi

we jamaa bana!
hivi wewe ni mhaya?
 
jamani kama ni kweli mwenyezi mungu amponye haraka katika ugonjwa ..
Du mwimbaji wangu kipenzi katika nyimbo za injili
 
Kwa Yesu sio tambalale, hata Musa alipata chamoto kwenye safari ya kanani, hivo hayo ndo maisha, atapona tu
 
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.

Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi

si kweli wiki iliyopita nilimuona, viwanja vya Tanganyika pakers jtano anarekodi video na afya yake ni nzuri sana, wala alikuwa haumwi
 
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.

Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God....
 
Back
Top Bottom