Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.
Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.
Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
we jamaa bana!
Hivi wewe ni mhaya?
Kwani wahaya ndio wapenzi wa muziki wa injili?
Tena wakikusikia walima wakupopoe kama maembe mtini.
Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.
Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God....Jamani mwenye current news za bahati bukuku atufahamishe sisi tulio wapenzi wa muziki wa injili.
Nasikia yu mgonjwa , hoi bin mahututi
anahitaji maombi yako popote ulipo.....get well soon woman of God....