Kwann [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rav 4 au? [emoji28][emoji28] ww noma sana
Kwann [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Alio wapa mbona hasemi?[emoji44][emoji12]Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji.
Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa yake kuwa mashakani alimfuata mchungaji ambaye alimtisha kuwa haruhusiwi kuolewa bali asubiri mpaka kifo kiwatenganishe na mumewe. Bahati Bukuku anasema miaka mitatu baada ya ndoa yake hiyo kukumbwa na mtanziko mchungaji huyo alimpigia simu na kumtaka kimapenzi. Bahati alimjibu mchungaji huyo kuwa aendelee kusubiri maana bado kifo hakijamtenganisha na mumewe.
Namjua wkt huo alikuwa hajawa starHabari zote za mujini unazo..khaa
Siyo kichaka ni msitu mnene, yawezekana alikuwa anamsaidia mchungaji kwa alivyomkatalia [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maskini.... Bora aendelee kujifariji na nyimbo za injili.... Moyo wa mtu kichaka...
Hiki kisu kikali.... [emoji91] [emoji91] [emoji91]Anauza mikorogo na ndugu yake.wamejichubua balaa.
Ila nikikumbuka jinsi gwaji boy alivokuwa anamgegeda Yule dada vizuri natamani wachungaji na mie
SUreHiki kisu kikali.... [emoji91] [emoji91] [emoji91] View attachment 1158957
Karibu ktk ufalme wangu maana nami ni mchungaji nisiejulikana.Anauza mikorogo na ndugu yake.wamejichubua balaa.
Ila nikikumbuka jinsi gwaji boy alivokuwa anamgegeda Yule dada vizuri natamani wachungaji na mie
Personally nawafahamu bahat na munewe Huyu dada alipata shida maskini na yule Dany..dany alikua hajatulia jaman alafu naaminj 100% Dany alikua mgonjwa...!wanae wawili alijjfungua wanafariki ... Sijui Dan alihamiaga wap
Kwahiyo bahati bado haja olewa ?
Hayo mapaja Ni yako? Nataka jibu moja tuHjaolewa tena .kuna kipindi niliskia anaishi na" mthungu"
Mbona haoengei kithunguHjaolewa tena .kuna kipindi niliskia anaishi na" mthungu"
Hahaha huenda anakiongea...hahhahaMb
Mbona haoengei kithungu
Hayo mapaja Ni yako? Nataka jibu moja tu
Anahitaji vijana Kama wewe nikupe no zake?Ya Tulia ackson
nipe mzee babaπAnahitaji vijana Kama wewe nikupe no zake?
Ulikuwa kasichana chuchu saa sita dany alitaka ale embe kwa chumviππHuwez
hahahaha..hata bahat mwenyew hawez nikumbuka wala dan..coz nilikua nado kisichana..loo
Ulikuwa kasichana chuchu saa sita dany alitaka ale embe kwa chumviππ
manengelo kwani bwana dani aliugua nini? Maana bahati ni shemeji kwa rafiki yangu
Obviously ni ngoma akiugua malaria baba mtoto hawezi kufa even sukari haiwezi kuwa sababu ya kifo cha mtoto ngoma ndiyo ina mchezo huo cha kufanya wewe mtonye mwana mwambie atakufa siku siyo zake yaweza kuwa too late ila ndo hivyo.Sina hakika sana bwana boss..tuishie hapa