Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji.

Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa yake kuwa mashakani alimfuata mchungaji ambaye alimtisha kuwa haruhusiwi kuolewa bali asubiri mpaka kifo kiwatenganishe na mumewe. Bahati Bukuku anasema miaka mitatu baada ya ndoa yake hiyo kukumbwa na mtanziko mchungaji huyo alimpigia simu na kumtaka kimapenzi. Bahati alimjibu mchungaji huyo kuwa aendelee kusubiri maana bado kifo hakijamtenganisha na mumewe.

Alio wapa mbona hasemi?[emoji44][emoji12]
 
Habari zote za mujini unazo..khaa
Namjua wkt huo alikuwa hajawa star
Alipewa hifadhi kwenye hyo familia
Na hyo familia mjanjaa wao ndy nlikuwa mm
Walikuwa wakiniona Wanajua mipango inakjaaa [emoji23][emoji23][emoji23].....

Ova
 
Maskini.... Bora aendelee kujifariji na nyimbo za injili.... Moyo wa mtu kichaka...
Siyo kichaka ni msitu mnene, yawezekana alikuwa anamsaidia mchungaji kwa alivyomkatalia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anauza mikorogo na ndugu yake.wamejichubua balaa.
Ila nikikumbuka jinsi gwaji boy alivokuwa anamgegeda Yule dada vizuri natamani wachungaji na mie
Hiki kisu kikali.... [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Screenshot_20190508-002003.jpeg
 
Kwahiyo bahati bado haja olewa ?
Personally nawafahamu bahat na munewe Huyu dada alipata shida maskini na yule Dany..dany alikua hajatulia jaman alafu naaminj 100% Dany alikua mgonjwa...!wanae wawili alijjfungua wanafariki ... Sijui Dan alihamiaga wap
 
manengelo kwani bwana dani aliugua nini? Maana bahati ni shemeji kwa rafiki yangu
Sina hakika sana bwana boss..tuishie hapa
Obviously ni ngoma akiugua malaria baba mtoto hawezi kufa even sukari haiwezi kuwa sababu ya kifo cha mtoto ngoma ndiyo ina mchezo huo cha kufanya wewe mtonye mwana mwambie atakufa siku siyo zake yaweza kuwa too late ila ndo hivyo.

Ngoma haipimwi kwa apperiance ya mtu au anaimbaje lile dude ni habari ingine.
 
Back
Top Bottom