Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Anakula karanga huyo Bahati Bukuku!Inajulikana!
Haya mambo mm nilikua nasikia dada zangu wanamuongelea Dan .wakt ule alikua hajifichi..alikua dhoofu na red lips..sijjui siku hiz yu wap!mhh Mungu awape maisha marefu
 
Huwez
hahahaha..hata bahat mwenyew hawez nikumbuka wala dan..coz nilikua nado kisichana..loo
Najaribu......... Fungua hizi codes. Opio(madam) hill crest. Calvin, ochieng, Silvia. Mbogo. Kama hujaelewa kitu hapo basi si wewe.. Mchana mwema Miner
 
Gwaji ni askofu sio Mchungaji usi muanderate, yeye ni advanced level....mauno yale kwa Wachungaji wanasubiri, mpaka nao wafikie uasikofu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji.
Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa yake kuwa mashakani alimfuata mchungaji ambaye alimtisha kuwa haruhusiwi kuolewa bali asubiri mpaka kifo kiwatenganishe na mumewe. Bahati Bukuku anasema miaka mitatu baada ya ndoa yake hiyo kukumbwa na mtanziko mchungaji huyo alimpigia simu na kumtaka kimapenzi. Bahati alimjibu mchungaji huyo kuwa aendelee kusubiri maana bado kifo hakijamtenganisha na mumewe.

The big girl is purely immature!What the hell with "baba mchungaji kumtongoza"?Kipi kipya?Mchungaji huwa hana moyo wa kupenda?Mumuambie aache ujinga wa kujiachia kuongea "ungedere" wake.To hell with her baritone kinda voice!😂😂😂😂😂😂
 
Muumini wa kweli anaweza kuwa mzinifu,anaweza kuwa muasherati,anaweza akaiba na kadhalika lakini muumini wa kweli hawezi kuwa mnafik.
 
Back
Top Bottom