Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Bahati Bukuku: Nilitongozwa na Baba Mchungaji

Obviously ni ngoma akiugua malaria baba mtoto hawezi kufa even sukari haiwezi kuwa sababu ya kifo cha mtoto ngoma ndiyo ina mchezo huo cha kufanya wewe mtonye mwana mwambie atakufa siku siyo zake yaweza kuwa too late ila ndo hivyo.

Ngoma haipimwi kwa apperiance ya mtu au anaimbaje lile dude ni habari ingine.


Yaani kama Dan ni.mzima bas anatumia dawa na zimemkubali sana..!
 
Kila anapitia ya kwake, wote tukianza lalamika hakuna vitu vitaenda...

Avumilie tu
Ila huyu dada kajichubua khaaa...!!!

Anaimba uzuri kuna baadhi ya nyimbo zake nazipenda.

Kwa mada hii Hata nyimbo zake zinaonesha mahusiano yake, asilimia 80 ya nyimbo zake ni za kulalamika ni kama hakuna anayemuelewa anayopitia....
 
Kila anapitia ya kwake, wote tukianza lalamika hakuna vitu vitaenda...

Avumilie tu


Hahahahaha utamu unavumilika unakuwa unamumunya tuu na kuaikilizia utamu. Ila uchungu yaah....

Uvumilivu ni kipaji.....
 
Back
Top Bottom