Bahati haiji mara mbili..

Bahati haiji mara mbili..

nimemuuliza upo tayari kuolewa na mimi?....akasema ndio na kumalizia na msemo" bahati haiji mara mbili". nimefurahi.....kataa ndoa kwaherini😁
Kila la kheri,kama umejiridhisha kukubali kirahisi hivyo kuwa anakupenda,maana yeye kuolewa kaona bahati,na hayo mambo ya kupenda kwake yatakuja yenyewe...
 
Back
Top Bottom