Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
mwenye dau kubwa kapitishiwa mnada." bahati haiji mara mbili".
unamaanisha nini mkuumwenye dau kubwa kapitishiwa mnada.
dua la kuku hilo mkuuKwenye ndoa ni karibu mno kama bao la kwanza utarudi tu , kila la heri🤗
namaanisha kwamba; grenedi limechomolewa pini.unamaanisha nini mkuu
nimekuwa serious na hii ishu huenda nikafanikiwaOa kijana ”ulale uchi kama kaka zako” achana na hao wahuni wanaomaliza sabuni za shemeji zao.
Huna maana kama likes za raraa rereeOa kijana ”ulale uchi kama kaka zako” achana na hao wahuni wanaomaliza sabuni za shemeji zao.
😂😂😂😂😂😂😂😂Karibu chamani mkuunimemuuliza upo tayari kuolewa na mimi?....akasema ndio na kumalizia na msemo" bahati haiji mara mbili". nimefurahi.....kataa ndoa kwaherini😁
Kila la kheri,kama umejiridhisha kukubali kirahisi hivyo kuwa anakupenda,maana yeye kuolewa kaona bahati,na hayo mambo ya kupenda kwake yatakuja yenyewe...nimemuuliza upo tayari kuolewa na mimi?....akasema ndio na kumalizia na msemo" bahati haiji mara mbili". nimefurahi.....kataa ndoa kwaherini😁
Sawa lakini umri wako kuelewa nilichoandika hapo juu bado,wewe nitakupa nafasi ya pili kujitafakari.Huna maana kama likes za raraa reree
If I get free milk, why should I keep a cow.Oa kijana ”ulale uchi kama kaka zako” achana na hao wahuni wanaomaliza sabuni za shemeji zao.
Usitufokee!!!! Ana tako?nimemuuliza upo tayari kuolewa na mimi?....akasema ndio na kumalizia na msemo" bahati haiji mara mbili". nimefurahi.....kataa ndoa kwaherini😁
waambie haoOa kijana ”ulale uchi kama kaka zako” achana na hao wahuni wanaomaliza sabuni za shemeji zao.
Inashangaza sana.waambie hao
wanaogopa sana maisha
ni bora uoe ndoa isambaratike kuliko usioe kabisa