Bahati inapogeuka kuwa taabu: Watanzania wanaoishi Marekani na Ulaya wanapiga pesa lakini kwenye suala la wanawake wanapata taabu sana

Bahati inapogeuka kuwa taabu: Watanzania wanaoishi Marekani na Ulaya wanapiga pesa lakini kwenye suala la wanawake wanapata taabu sana

You can not control nature!
Tangu kuwepo kwa Women Empowement,
Wanaume wa kimarekani karibia 42% hawataki kuoa.
sana sana kama kuoa wanaoa, Wanawake wa Asia, Amerika Kusini na baadhi ya wanawake wa Ulaya Mashariki.
Kwa sababu wana maadili zaidi ya kitamaduni, wana shape , na wanazeeka polepole kuliko wanawake wa Malekani.

Sasa wale strong women, usingle ukiwachosha, na wakati umri umewakimbia.wanamehamia kwa vijana wadogo.
Ndio uwepo wa ndoa za vibibi na vijana wadogo.
KWA MLIOKO HUKO NJE HII NI FURSA, TAFUTENI VIBIBI HUKO. WANAIGERIA WAMEFANIKIWA SANA KWENYE HILI
133622556_3599934593375340_4429441936481393211_n.jpg
 
Mazingira yanayowapa kipaumbele wanawake - Marekani / Ulaya mwanamke anatukuzwa sana, Huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni kesi ni domestic violence, Mnaweza kulewa wote lakini mwanamke ana haki ya kulalamika kabakwa kwasababu alikuwa hajitambui watu kibao ni wahanga wa hizi kesi, n.k.

Child Support - Si kama huku bongo kwamba utampa binti uja uzito kisha mama yake umpe laki 1 kila mwezi, kule ni uwanja tofauti kabisa, watu huwa wanafanya sherehe wakimaliza kulipa child support, Ni kawaida sana kwa mtu mwenye kipato cha chini kuamuriwa kulipa milioni 2 kila mwezi kwajili ya child support, kina mama wengi wanatumia pesa hizi kujikimu,

Kuhusu mabinti wa kimarekani wana taratibu zao, mila zao na walivyokuzwa lazima mtapishana maana malezi yao ni tofauti na yetu, Wanawake wengi wamekuzwa kwenye mazingira ya kuwaamnisha wao ndio viongozi wa familia, Mwanaume hana kauli juu yao, Mwanaume huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni unapewa kesi ya domestic ciolence, hali hii ni tofauti sana na malezi yetu ya bongo ambayo Baba ndo kichwa cha familia.

Kuhusu mabinti wa kibongo useme uwapeleke state (Import) hao wengi wakifika state huwa wanabadilika mno,

DIVORCE - ni tatizo kubwa sana kwa marekani, Utafiti uliofanyika ni kwamba nusu ya ndoa zote wanandoa huachana, ndoa hazipo stable sababu mwanamke ana nguvu sana inafikia kipindi wanaume wanachoka, wanawake wanaotaka kuishi kwa child support, n.k.

Madada poa wapo lakini wana bei mbaya sana, Kwa usiku moja ni laki 3
Aisee
 
Back
Top Bottom