Bahati (luck) ni nini ?

watoto wa kileo wanakwambia TATIZO NYOTA

masai dada nyota haziwezi husiana na bahati! naomba tu ninyooshe maelezo kwa mtindo uliouprefer hapo.

Nyota zinatoa tu possibility. kinachokufanya uhisi kuna nyota zinabahati ni namna tu ya some pipo wanavyoweza kumeet na posibility hizo.

kila nyota nyota inabahati kemkem.
....

Huu ni mtazamo wangu sasa:

bahati ni neno tu intheory but in practise therevis no such a word. everything happens for a reason.
 
hahahaha Pdidy huyu mwanafunzi wangu kanichakachua

achaizo lakinisiulielewa au

Mi nimekutonya kimya kimya, we unapiga yowe, ngoja sasa na mimi nimwage mboga. NyaniNgabu njoo huku kuna mtu kaharibu lugha yetu adhimu.
 
Last edited by a moderator:
Mi nimekutonya kimya kimya, we unapiga yowe, ngoja sasa na mimi nimwage mboga. NyaniNgabu njoo huku kuna mtu kaharibu lugha yetu adhimu.

aaah maramokomoko sio mbaya

ata na hivyo ajanipa madongo siku nyingi nimemis
 
Last edited by a moderator:

Bahati watu huzaliwa nayo...ila inaweza kutokea baadae, hata uzeeni..sasa hii inafanya wengine wajibu kwa kusema bahati mtu hukutana nayo au hutengenezwa. Ishu iko hivi: kila mtu ana baraka yake (bahati), muhusika yuko na control ya kuipoteza au kuipata au kuiboresha au kuifanya laana. matumiza yako ya muda na matendo yako katika mambo yanayolenga mafanikio ndio yanang'arisha bahati yako au kuichelewesha. This is from my experience na usomaji wa vitabu vingi.
 
ndo ujue watu wamevurugwa rafiki yangu, hustle za maisha zinafanya watu wafikirie kwa kwenda mbele na kurudi nyuma at the same time
 

Yaap. Tumekuelewa. Lkn siku zote nimekuwa nikielewa bahati ni imani inayopaliliwa na matendo mema na kujituma. Ni kweli kwamba baadhi ya watu wamezaliwa na bahati lkn wameshindwa kuzipalilia. kwa nini nasema bahati ni imani? Kitu ambacho mungu ametujalia kikubwa ni imani, ukiwa na imani unaweza kufanya mambo makubwa. Mfano kwa imani tu unaweza ukambariki mtoto aliye tumboni mwa mama kwa kuamini na kusema mtoto huyu atakua na akili sana ,au atakua jambazi. Maandiko matakatifu yanasema mungu alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake, pamoja na kwamba hatuko exactly kama mungu lkn tuna tuelements tuchache twa nguvu za kimungu. Mungu aliumba kwa maneno,even us we have such elements. Ukiamini mwakani mwezi wa saba utanunua gari na akafanya jitihada utafanikiwa na watu watasema unabahati kumbe maskini imani yako itakuwa imekuponya.
 

Pasco
Kupinga kwamba hakuna kitu kinachoitwa bahati rather kuna power within us ni kututoa kwenye mistari

Luck has been there since ancient time and wise men and thinkers wamejaribu kutaka jua nini hasa kinampelekea mtu kuwa mwenye bahati


Let me quote a proverb
" if a man be lucky, there is no foretelling the possible extent of his good fortune. Pitch him into the Euphrates and as not he will swim out with a pearl in his hand"

Hata hapa kwetu neno bahati has been widely used
Kuna michezo ya bahati nasibu nk

Unakuta watu 1000 wana shindanishwa and randomly mtu mmoja ana shinda

How can u say that is a power of will or power within us?
 
Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema "whatever a mind of a man can conceive and believe, it can achieve".
So it's all about what you believe of your self.
 

umechanganya vitu vingi hapo hadi nashindwa nijibu vipi

umesema bahati ni nature
then probability can help us
hebu fafanua how?
 

Posco nisaidie hapa. Nimedondosha tshs 10000/=, wakapita watu ishirini hawakuiona na kuiokota. Akapita wa 22 akaiona na kuiokota. Swali: hawa 20 wana nini wasiiokote? Huyo wa 22 ana nini mpaka akaiokota?

Bahati ipo ila kwa % kubwa unaicreat mwenyewe. Iwe mbaya au nzuri.

Maswali yatakuja
 


nakubakiana na wew bahati ipo

jinsi gani sasa unaweza I create?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…