Bahati (luck) ni nini ?

Bahati (luck) ni nini ?

watoto wa kileo wanakwambia TATIZO NYOTA

masai dada nyota haziwezi husiana na bahati! naomba tu ninyooshe maelezo kwa mtindo uliouprefer hapo.

Nyota zinatoa tu possibility. kinachokufanya uhisi kuna nyota zinabahati ni namna tu ya some pipo wanavyoweza kumeet na posibility hizo.

kila nyota nyota inabahati kemkem.
....

Huu ni mtazamo wangu sasa:

bahati ni neno tu intheory but in practise therevis no such a word. everything happens for a reason.
 
hahahaha Pdidy huyu mwanafunzi wangu kanichakachua

achaizo lakinisiulielewa au

Mi nimekutonya kimya kimya, we unapiga yowe, ngoja sasa na mimi nimwage mboga. NyaniNgabu njoo huku kuna mtu kaharibu lugha yetu adhimu.
 
Last edited by a moderator:

aaah maramokomoko sio mbaya

ata na hivyo ajanipa madongo siku nyingi nimemis
 
Last edited by a moderator:
Wana jamii intelligence

Bahati sio neno jipya
tumezoea kusikia misemo kadha wa kadha kuhusu bahati mfano ana bahati nzuri ana bahati mbaya nk

Napata maswali mengi kuhusu hii bahati

1. bahati ni nini

2. bahati mtu huzaliwa nayo (inborn) au unaweza jipatia bahati yako katika kipindi cha maisha

3. kwann baadhi ya watu wanaonekana kuwa na bahati kuliko wenzao
Je kuna namna mtu anaweza jitengenezea bahati yake

4. inafahamika kuwa bahati inaweza kua mbaya au nzuri
je hizi bahati mbili zina tegemeana?

karibuni kwenye mjadala..

Bahati watu huzaliwa nayo...ila inaweza kutokea baadae, hata uzeeni..sasa hii inafanya wengine wajibu kwa kusema bahati mtu hukutana nayo au hutengenezwa. Ishu iko hivi: kila mtu ana baraka yake (bahati), muhusika yuko na control ya kuipoteza au kuipata au kuiboresha au kuifanya laana. matumiza yako ya muda na matendo yako katika mambo yanayolenga mafanikio ndio yanang'arisha bahati yako au kuichelewesha. This is from my experience na usomaji wa vitabu vingi.
 
ndo ujue watu wamevurugwa rafiki yangu, hustle za maisha zinafanya watu wafikirie kwa kwenda mbele na kurudi nyuma at the same time
 
Mkuu Charming Lady, asante kunitonya hii mada!.

Kwa kuanzia, in reality, hakuna kitu kinachoitwa bahati, lucky, wala hakuna bahati nzuri, good lucky wala hakuna bahati mbaya, bad lucky, zote hizi ni "works of powers" from within!. There is nothing new under the sun, everything that happens ni pre meditated move, it had to happen that time, na vivyo hivyo ilivyotokea!, ndio manna unashauriwa always shukuru kwa yote, liwe zuri au baya, lilikuwa litokee tuu!.

Maombo yote kwenye maisha yetu yako controlled by the will within us, sasa hii will iki fanya mema, inajenga kitu kinachoitwa "good will" na hii ndio wanaiita bahati!, kismat etc. Ukifanya mabaya unapata "bad will" ndio inaitwa bahati mbaya, balaa au majanga!.

Hii will inakuwa influence positively kufanya mambo mazuri na negatively kufanya mambo mabayo, na ukumbuke lolote linalokupata, it's your own making!.

Kwenye hayo mazuri na mabaya ya will na hapa ndipo kitu kinachoitwa "karma" kina play part, ukifanya maovu, utalipwa maovu na majanga yatakukuta na kuishia kusema ni bahati mbaya, mikosi, majanga, na mabalaa!. Ukifanya mema, utalipwa mema, ndio hiyo inaitwa bahati nzuri, mambo super, neema tele!.

Tatizo la karma, kama haijabance, fidia in a transfer to next generation, hii ndio watu wanaita curse, laana!, yaani unajikuta unamikosi mwanzo mwisho, kumbe ni makosa ya mababu zako!.

Ukisha realise you are on the control of your destiny, be positive with affirmatives you want the best, you'll get the best!.Hata ukiingia casino, unaweza ku will machine ikatema on your favour, ukavuna pesa!.

Ila pia kuna kitu kinaitwa mikosi ya kujitakia, ni mtu kutokuwa mwangalifu na kitu kinachoitwa love compatibility,ambapo uki date na a compatible, unatengeneza good will, kismati, life ina shine, mnapata mafanikio makubwa na furaha milele!, uki date na incompatible unajiletea nuksi, ni majanga, na ma balaa kwa kwenda mbele!, siku zote unapokutana na mtu ambaye sio, kuna signs kibao zinakuambia sio, ila una zi ignore, na hata yanapokukuta, unaweza usijue uko na mtu mwenye nuksi, unabakia kujisemea sijui nina mahati mbaya gani!.

Pasco

Yaap. Tumekuelewa. Lkn siku zote nimekuwa nikielewa bahati ni imani inayopaliliwa na matendo mema na kujituma. Ni kweli kwamba baadhi ya watu wamezaliwa na bahati lkn wameshindwa kuzipalilia. kwa nini nasema bahati ni imani? Kitu ambacho mungu ametujalia kikubwa ni imani, ukiwa na imani unaweza kufanya mambo makubwa. Mfano kwa imani tu unaweza ukambariki mtoto aliye tumboni mwa mama kwa kuamini na kusema mtoto huyu atakua na akili sana ,au atakua jambazi. Maandiko matakatifu yanasema mungu alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake, pamoja na kwamba hatuko exactly kama mungu lkn tuna tuelements tuchache twa nguvu za kimungu. Mungu aliumba kwa maneno,even us we have such elements. Ukiamini mwakani mwezi wa saba utanunua gari na akafanya jitihada utafanikiwa na watu watasema unabahati kumbe maskini imani yako itakuwa imekuponya.
 
Mkuu Charming Lady, asante kunitonya hii mada!.

Kwa kuanzia, in reality, hakuna kitu kinachoitwa bahati, lucky, wala hakuna bahati nzuri, good lucky wala hakuna bahati mbaya, bad lucky, zote hizi ni "works of powers" from within!. There is nothing new under the sun, everything that happens ni pre meditated move, it had to happen that time, na vivyo hivyo ilivyotokea!, ndio manna unashauriwa always shukuru kwa yote, liwe zuri au baya, lilikuwa litokee tuu!.

Maombo yote kwenye maisha yetu yako controlled by the will within us, sasa hii will iki fanya mema, inajenga kitu kinachoitwa "good will" na hii ndio wanaiita bahati!, kismat etc. Ukifanya mabaya unapata "bad will" ndio inaitwa bahati mbaya, balaa au majanga!.

Hii will inakuwa influence positively kufanya mambo mazuri na negatively kufanya mambo mabayo, na ukumbuke lolote linalokupata, it's your own making!.

Kwenye hayo mazuri na mabaya ya will na hapa ndipo kitu kinachoitwa "karma" kina play part, ukifanya maovu, utalipwa maovu na majanga yatakukuta na kuishia kusema ni bahati mbaya, mikosi, majanga, na mabalaa!. Ukifanya mema, utalipwa mema, ndio hiyo inaitwa bahati nzuri, mambo super, neema tele!.

Tatizo la karma, kama haijabance, fidia in a transfer to next generation, hii ndio watu wanaita curse, laana!, yaani unajikuta unamikosi mwanzo mwisho, kumbe ni makosa ya mababu zako!.

Ukisha realise you are on the control of your destiny, be positive with affirmatives you want the best, you'll get the best!.Hata ukiingia casino, unaweza ku will machine ikatema on your favour, ukavuna pesa!.

Ila pia kuna kitu kinaitwa mikosi ya kujitakia, ni mtu kutokuwa mwangalifu na kitu kinachoitwa love compatibility,ambapo uki date na a compatible, unatengeneza good will, kismati, life ina shine, mnapata mafanikio makubwa na furaha milele!, uki date na incompatible unajiletea nuksi, ni majanga, na ma balaa kwa kwenda mbele!, siku zote unapokutana na mtu ambaye sio, kuna signs kibao zinakuambia sio, ila una zi ignore, na hata yanapokukuta, unaweza usijue uko na mtu mwenye nuksi, unabakia kujisemea sijui nina mahati mbaya gani!.

Pasco

Pasco
Kupinga kwamba hakuna kitu kinachoitwa bahati rather kuna power within us ni kututoa kwenye mistari

Luck has been there since ancient time and wise men and thinkers wamejaribu kutaka jua nini hasa kinampelekea mtu kuwa mwenye bahati

Let me quote a proverb
" if a man be lucky, there is no foretelling the possible extent of his good fortune. Pitch him into the Euphrates and as not he will swim out with a pearl in his hand"

Hata hapa kwetu neno bahati has been widely used
Kuna michezo ya bahati nasibu nk

Unakuta watu 1000 wana shindanishwa and randomly mtu mmoja ana shinda

How can u say that is a power of will or power within us?
 
Bahati watu huzaliwa nayo...ila inaweza kutokea baadae, hata uzeeni..sasa hii inafanya wengine wajibu kwa kusema bahati mtu hukutana nayo au hutengenezwa. Ishu iko hivi: kila mtu ana baraka yake (bahati), muhusika yuko na control ya kuipoteza au kuipata au kuiboresha au kuifanya laana. matumiza yako ya muda na matendo yako katika mambo yanayolenga mafanikio ndio yanang'arisha bahati yako au kuichelewesha. This is from my experience na usomaji wa vitabu vingi.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kusema "whatever a mind of a man can conceive and believe, it can achieve".
So it's all about what you believe of your self.
 
Hiyo ni nature tuu!!!
Ni sawa na faida vs Hasara!!
Carl Max aliwahi kusema hili ktk kitabu chake alichozungumzia juu ya ubepari

"Everything on earth exist in opposite direction"

Mfumo wa maisha yetu no matter what, vitu vipo viwili2 kiukinzani!!
Chema vs Kibaya
Usiku vs. Mchana
Juu. vs Chini
Bahati mbaya vs Bahati Nzuri
kifupi vs kirefu ...............................LIST NDEEEEEFU!!!
For me swala la bahati linaingia hapa!!!
Natural thing....everyone has equal chance to share or not share in life!!!
Whether born with or otherwise!!!!
Theory of Probability can help us more to understand this concept!!!!

umechanganya vitu vingi hapo hadi nashindwa nijibu vipi

umesema bahati ni nature
then probability can help us
hebu fafanua how?
 
Mkuu Charming Lady, asante kunitonya hii mada!.

Kwa kuanzia, in reality, hakuna kitu kinachoitwa bahati, lucky, wala hakuna bahati nzuri, good lucky wala hakuna bahati mbaya, bad lucky, zote hizi ni "works of powers" from within!. There is nothing new under the sun, everything that happens ni pre meditated move, it had to happen that time, na vivyo hivyo ilivyotokea!, ndio manna unashauriwa always shukuru kwa yote, liwe zuri au baya, lilikuwa litokee tuu!.

Maombo yote kwenye maisha yetu yako controlled by the will within us, sasa hii will iki fanya mema, inajenga kitu kinachoitwa "good will" na hii ndio wanaiita bahati!, kismat etc. Ukifanya mabaya unapata "bad will" ndio inaitwa bahati mbaya, balaa au majanga!.

Hii will inakuwa influence positively kufanya mambo mazuri na negatively kufanya mambo mabayo, na ukumbuke lolote linalokupata, it's your own making!.

Kwenye hayo mazuri na mabaya ya will na hapa ndipo kitu kinachoitwa "karma" kina play part, ukifanya maovu, utalipwa maovu na majanga yatakukuta na kuishia kusema ni bahati mbaya, mikosi, majanga, na mabalaa!. Ukifanya mema, utalipwa mema, ndio hiyo inaitwa bahati nzuri, mambo super, neema tele!.

Tatizo la karma, kama haijabance, fidia in a transfer to next generation, hii ndio watu wanaita curse, laana!, yaani unajikuta unamikosi mwanzo mwisho, kumbe ni makosa ya mababu zako!.

Ukisha realise you are on the control of your destiny, be positive with affirmatives you want the best, you'll get the best!.Hata ukiingia casino, unaweza ku will machine ikatema on your favour, ukavuna pesa!.

Ila pia kuna kitu kinaitwa mikosi ya kujitakia, ni mtu kutokuwa mwangalifu na kitu kinachoitwa love compatibility,ambapo uki date na a compatible, unatengeneza good will, kismati, life ina shine, mnapata mafanikio makubwa na furaha milele!, uki date na incompatible unajiletea nuksi, ni majanga, na ma balaa kwa kwenda mbele!, siku zote unapokutana na mtu ambaye sio, kuna signs kibao zinakuambia sio, ila una zi ignore, na hata yanapokukuta, unaweza usijue uko na mtu mwenye nuksi, unabakia kujisemea sijui nina mahati mbaya gani!.

Pasco

Posco nisaidie hapa. Nimedondosha tshs 10000/=, wakapita watu ishirini hawakuiona na kuiokota. Akapita wa 22 akaiona na kuiokota. Swali: hawa 20 wana nini wasiiokote? Huyo wa 22 ana nini mpaka akaiokota?

Bahati ipo ila kwa % kubwa unaicreat mwenyewe. Iwe mbaya au nzuri.

Maswali yatakuja
 
nakubakiana na wew bahati ipo

jinsi gani sasa unaweza I create?
 
Back
Top Bottom