Bahati (luck) ni nini ?


Mkuu si kwamba nina uelewa mdogo kama unavyofikiri,pengine hao unawaona wamekuelewa ndiyo inawezekana wakawa na uelewa mdogo au pengine hawakuchambua vizuri ulichokiandika. Nasema hivyo kwa sababu nishasoma au kufuatilia sana mambo kama hayo, na nilikuwa muumini mzuri tu.
Mfano hayo uliyoyaandika mtu akiyaamini basi ataona umeandika kitu cha maana sana ktk maisha yetu na hapo ndiyo mtu anapokuwa muumini, lakini tukisema tuchambua hayo uliyoyaandika ndipo utaona kiuhalisia hayana maana.
 
umechanganya vitu vingi hapo hadi nashindwa nijibu vipi

umesema bahati ni nature
then probability can help us
hebu fafanua how?
kidole, even probability is something natural phenomenon!!!!
Kuelewa ni pamoja na kuwa tayari kuelewa kinachozungumzwa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bahati Ni Kile Kizuri Unachotamani Moyoni Bila Kukifungua Kwenye Mdomo... wewe unaweza kusema umebahatika wenzio wakaona upuuzi tu... neno linalosimama badala la "fanikio la mshangazo" nothing special about lucky.... kuwa au kutokuwa na bahati ni muelezeo tu wa hisia za consciousness

"rakims"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…