Bahati (luck) ni nini ?

Bahati (luck) ni nini ?

Mkuu Uhuru, pole tena, ila uelewa una levels fulani za uwezo wa mtu kuelewa ndio maana kuna chekechea, darasa la kwanza hadi la 7. Mwanzo nilijibu as if jf ni home to the great thinkers, ambao kazi ya mwalimu ni kuwakatia tuu pande, wanapika wenyewe, wanapakua wenyewe, wanakula wenyewe, wanatafuna wenyewe, mwisho wana meza wenyewe!.

Ila humu pia tuna baadhi yetu, wao wanataka waletewe chakula, wapikiwe, wapakuliwe, watafuniwe, ndipo walishwe, wao kazi yao ibaki ni kumeza tuu!. That being the case, nafungua sasa tuition ya darasa la 1-3 kuhusu bahati!.

  1. Japo watu hudhania kuna kitu kinaitwa bahati nzuri au mbaya, in reality hakuna kitu hicho, bali hilo ni jina tuu, kitu chenyewe ni "powers from within" zinaitwa "will powers" ambazo kila binabamu amepewa, zina uwezo wa Kimungu, kufanya kila kitu!. Zikifanya mambo mazuri ndio inaitwa bahati nzuri, zikifanya majanga zinaitwa bahati mbaya, hivyo hicho kinachoitwa bahati ni neno tuu lililozoeleka ila kitu chenyewe halisi ni powers!.
  2. Kama ilivyozoeleka mambo ya moyoni, watu wanasema pendo la moyo, ukipenda moyo umependa, ukiona vivu moyo umeumia etc, in reality kazi ya moyo ni moja tuu ku pump damu!, hakuna cha kupenda wala kuumia moyo, kupenda na maumizi ni kwenye ubongo na yanasababishwa na vichocheo vinavyotengenezwa kwenye endocrine glands na sio kwenye moyo!.
Natumaini by now utaanza kunielewa kabla sijaendelea, ila ikitokea mpaka hapa bado hujanielewa, itanibidi sasa nikuitie waalimu wa cheke chea!.

Pasco

Mkuu si kwamba nina uelewa mdogo kama unavyofikiri,pengine hao unawaona wamekuelewa ndiyo inawezekana wakawa na uelewa mdogo au pengine hawakuchambua vizuri ulichokiandika. Nasema hivyo kwa sababu nishasoma au kufuatilia sana mambo kama hayo, na nilikuwa muumini mzuri tu.
Mfano hayo uliyoyaandika mtu akiyaamini basi ataona umeandika kitu cha maana sana ktk maisha yetu na hapo ndiyo mtu anapokuwa muumini, lakini tukisema tuchambua hayo uliyoyaandika ndipo utaona kiuhalisia hayana maana.
 
umechanganya vitu vingi hapo hadi nashindwa nijibu vipi

umesema bahati ni nature
then probability can help us
hebu fafanua how?
kidole, even probability is something natural phenomenon!!!!
Kuelewa ni pamoja na kuwa tayari kuelewa kinachozungumzwa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bahati Ni Kile Kizuri Unachotamani Moyoni Bila Kukifungua Kwenye Mdomo... wewe unaweza kusema umebahatika wenzio wakaona upuuzi tu... neno linalosimama badala la "fanikio la mshangazo" nothing special about lucky.... kuwa au kutokuwa na bahati ni muelezeo tu wa hisia za consciousness

"rakims"
 
Back
Top Bottom