Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuuuhh kali hiyo.BAHATI MBAYA
Mume na mke wanafanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja uzalendo unamshinda mwanamke na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa kumbe mumewe ana uume wa bandia!
Mke:haya naomba maelezo haraka kabla sijakinukisha?
Mume:Mimi ndio naomba maelezo makubwa mno,nataka uniambie hawa watoto wetu watatu wamepatikana vipi?
Nalog off
Ha ha ha kweli log off tuBAHATI MBAYA

kweli aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] duuuuuhh kali hiyo.
Joseverst nimeshaiwahi seat yako mkuu, mwaka huu unazembea sana first place yako