Bahati na sibu

Bahati na sibu

geekizuri02

Member
Joined
Oct 16, 2022
Posts
18
Reaction score
60
Je michezo ya kubashiri (igames au Gambling) ni Bahati au inahitaji ujuzi na elimu kwa michezo husika kuweza kucheza na kushinda? Tuambizane Jamani na kama inahitaji skills ni skills zipi zaidi au Je ni hesabu zipi na michezo ipi inahitaji vitu kama hivyo?

Betting Images.png
 
yaah skills zinaitajika kama kujua structure ya soko kwa mda huo....mfano kwenye roullete wheel
 
Back
Top Bottom