geekizuri02
Member
- Oct 16, 2022
- 18
- 60
Je michezo ya kubashiri (igames au Gambling) ni Bahati au inahitaji ujuzi na elimu kwa michezo husika kuweza kucheza na kushinda? Tuambizane Jamani na kama inahitaji skills ni skills zipi zaidi au Je ni hesabu zipi na michezo ipi inahitaji vitu kama hivyo?