Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

teledam

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
927
Reaction score
1,239
Wakuu habari,

Inawezekana kuna wadau humu wamekuwa 'addicted' na mchina ama korokoro kama inavyoitwa katika sehemu mbalimbali.

Naomba kwa anayefahamu adondoshe hapo tip jinsi gani unaweza kubashiri vizuri katika bahati nasibu hii.

Asante
 
nilizoea kuweka wanyama wa4

dubu&nyani- wadogo

ng'ombe&chui kwa wakubwa na farasi in advance
 
nilizoea kuweka wanyama wa4

dubu&nyani- wadogo

ng'ombe&chui kwa wakubwa na farasi in advance
Kwamba ukicheza wakubwa ni wakubwa tu au unawachanganya na hao wadogo
 
nilikuwa na weka kwa pamoja

kikubwa uwe na hela ya kutosha
 
Hivi mchina atengeneze lidude yeye, aliprogram yeye, alisambaze yeye, alisimamie yeye halafu wewe unaenda kupoteza muda wako kulicheza eti upate fedha? utakuwa una mtindio wa ubongo
Hizo ni fikra mgando kamanda,watu wanalipiga kama kawa😎
 
Back
Top Bottom