Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
dah kuna siku niliweka buku means token nne nikacheza ngedere,dubu,chui na ng'ombe.Kuna siku nilicheza ikawa inamwaga tu hela ,uzuri tulikuwa kama wanne hamna anayetaka kucheza ,mi naendelea tu inamwaga hadi hela zikaisha kumbe mbovu.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
bwana weee ile kubonyeza start ikaanza kuwakawaka na kamziki kazuri kumbe ni all win.Nilikingia hela mpaka na jacket