dah kuna siku niliweka buku means token nne nikacheza ngedere,dubu,chui na ng'ombe.Kuna siku nilicheza ikawa inamwaga tu hela ,uzuri tulikuwa kama wanne hamna anayetaka kucheza ,mi naendelea tu inamwaga hadi hela zikaisha kumbe mbovu.
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
👉📖Ambao hatuna idea kabisa kabisa na hii kitu tunacomment wapi?[emoji848]
Unforgetable
Nipe link nikasome mkuu.[emoji117][emoji433]
toa somo...ujanja gan unatumiaKila kamari inaujanja wake. Kwenye hii ya mchina ujanja upo ila usiwe na tamaa sana at least kwenye mashine tano uchukue 20000/= inatosha kwa kula. Ila ni AT YOUR OWN RISK.
Yani naona chenga kabisa sijui wanazungumzia nini.Ambao hatuna idea kabisa kabisa na hii kitu tunacomment wapi?[emoji848]
Unforgetable
MloganzilaAmbao hatuna idea kabisa kabisa na hii kitu tunacomment wapi?[emoji848]
Unforgetable
Kulifilisi ni ngumu labda ulipasue pesa kidogo ya madafu tena ukiwa na bahati ya mtende..ukishapiga mshindo ukimbie mithili ya bolt bila ya hivyo utacheza tena na utaliwa hata pesa ambayo hukuwa nayo
Njia ya kulifilisi ni kulichokonoa kwa Uzi uliofungia mia mbili ..hii inahitaji wataalamu wa kazi