ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mlisema mmekuja kivingine kwa Ile promo nikajua mmejipanga mna site ambayo wadau tutaona live draw inavochezeshwa cha ajabu draw zinaendelea kwa USSD bila mteja kushuhudia matokeo
Mkurugenzi mwenyewe kajichokea anatafuta ubungeMlisema mmekuja kivingine kwa Ile promo nikajua mmejipanga mna site ambayo wadau tutaona live draw inavochezeshwa cha ajabu draw zinaendelea kwa USSD bila mteja kushuhudia matokeo