Bahati Yao Gwaneng Galaxy tunacheza nao mwishoni nilitamani tuanze nao hawaaa, waliniliza aisee nikasema ipo siku

Bahati Yao Gwaneng Galaxy tunacheza nao mwishoni nilitamani tuanze nao hawaaa, waliniliza aisee nikasema ipo siku

Mpira ni Dk 90

1Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Warumi 12:19

Kisasi ni Cha Mungu MWENYEWE na Mungu Ndiye mwenyekulipiza kisasi.

FIFA WENYE MPIRA WAO WENYEWE, WANASISITIZA SANA FAIR PLAY.
 
Futa neno kidume kwenye uzi wako

Vidume hawalii kwa ishu kama hiyo
 
Mwaka huu timu za weusi ni nyingi kuliko za waarabu, chakushangaza bingwa atakuwa mwarabu [emoji24][emoji24]
Pamoja na hilo, karibia Nchi zote za Waarabu hapa Afrika wamepata uwakilishi, isipokuwa LIBYA tu!
 
YAANI TUSHINDWE TU SISI.....KUFUZU ILO SINA SHAKA.....natamani tuongoze kundii ili iwe njia rahisi ya kufikia Nusu fainali.....kwani Robo tutaanzia ugenini tunamalizia nyumbani

H vs ASEC

A vs Jwaneng

A vs wydad

H vs wydad

A vs Asec

Home...vs jwaneng
 
Mngekuwa na akili mgekuwa mnaulizia hata Afya za wachezaji WENU.

1. Aishi Manura.
2. Enock Inonga na
3. Aubin kramo.
Hapo Sina shaka watakaa poa....Manula alishaanza mazoezi na wenzie.....inonga hayuko mbali kupona......kramo ndio sijajua Hali yake kwa sasa
 
Mpira ni Dk 90

1Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.

Warumi 12:19

Kisasi ni Cha Mungu MWENYEWE na Mungu Ndiye mwenyekulipiza kisasi.

FIFA WENYE MPIRA WAO WENYEWE, WANASISITIZA SANA FAIR PLAY.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom