Wewe utakuwa na 19Wakuu...
Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...
Mimi naanza hivi:-
1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23
Haya na wewe tiririka...
Wewe utakuwa na 49.Wewe utakuwa na 19
Umekosea kidoogoWewe utakuwa na 49.
Dah umenishusha sana mkuuWewe utakuwa na 19
HahahaWewe utakuwa na 49.
Wewe unachezea 72Wewe utakuwa na 49.
Basi tufanye 27Dah umenishusha sana mkuu
HahaWewe unachezea 72
Wewe unaonekana una 40s maana huu umri ndiyo uliojaa wenye stress.Mimi je?
Am 21[emoji12]Kuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Yani ukiwa mdg sn ni 32Am 21[emoji12]
UsinizeesheYani ukiwa mdg sn ni 32