Wewe una 25
Ngoja nkukadirie na ww twenty.........Hongera Dear , kumbe jua limezama namna hiyo [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hahaa. Wewe 25.
Hamna tatizoMapozi ni sifa ya mwanamke haina umri ati
Wewe 20-25, huchomoki hapaKichwa kichafu mwaka jana alikuwa na miaka 16, mwaka huu itakuwa kaingia mwaka wa 17.
Eti Babu, wewe si ndio unamfukuzia Mugabe kwa umri kwa sasa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aaa wapi.... utasubiri sana. Yawezekana nimesoma na baba yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]AVATAR ya Jembekillo ni hatari, wanaume wamebanana matakoni
Inna 50+ na ukigagula wake
Kanizidi kidogo sana yani....Eti Babu, wewe si ndio unamfukuzia Mugabe kwa umri kwa sasa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahahahaaaaaa naona umeamua ujipunguzie miaka saba jiraniNahisi nitakuwa na miaka 10 aiseeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inna 50+ na ukigagula wake
Babu shikamoooKanizidi kidogo sana yani....
Nitatia breki umri wake ili umpite tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kanizidi kidogo sana yani....
Mahabaaaa.... eti wewe una umri gani?Babu shikamooo
Ndio fataki mkubwa yuleeHahaa. Wewe 25.
Vipi Saint Ivuga alikufataki nini
Fanya haraka tumshinde adui...Nitatia breki umri wake ili umpite tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niamini maana huwa hudanganyiMimi na Aspirin tuko kwenye 70+
Mi kibibi kigagula etii namzidi mange kimambiMahabaaaa.... eti wewe una umri gani?
Wewe 27-32, huchomoki hapaWahenga tupo wengi humu....[emoji124]