Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Hahahahha. AhsanteMahabaaa niue.... Heri ya mwaka mpya na kwako pia pamoja na wapendwa wako wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha. AhsanteMahabaaa niue.... Heri ya mwaka mpya na kwako pia pamoja na wapendwa wako wote.
Wakuu...
Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...
Mimi naanza hivi:-
1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23
Haya na wewe tiririka...
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Mwisho atasema ana Ben 10[emoji16][emoji16][emoji16]Kichwa kichafu mwaka jana alikuwa na miaka 16, mwaka huu itakuwa kaingia mwaka wa 17.
29Bahatisha umri wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho atasema ana Ben 10[emoji16][emoji16][emoji16]
Hujafika huko weweeee hapo unaona raaaahaaaaaa umesogezewa miakaMkuu hiyo ramli umejifunzia wapi??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahaa mkuu wew 24 jok ...happy new year & miss u so muchHahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Kumbe bado bikira wewe....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaa mtoto mbichi kabisaa
Nitaupitia nione jinsi watu walivyodanganya hapaKuna ule uzi wa kifo cha mwalimu nyerere ulikua wap ukiusoma utagundua miaka ya wengi humu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hujafika huko weweeee hapo unaona raaaahaaaaaa umesogezewa miaka
Ww kwenye 29-34
Hahahaa. Mie nshapita huko.Hapa utakuwa 35