Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Thad mbona unatoboa siri, mimi nilikuwa bado najidogodesha hapa jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Basi nisamehe bure,[emoji40] [emoji40]
Jamani Mwifwa ana miaka 18
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umekosea kidogo sana, hapo kwenye 35 ongezea 7 utapata umri wangu halisi.
Nishazoea kunidanganya tu, hata kule shuleni unanidanganya kila siku ili nisikupe adhabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom