mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Seriously!?Mimi 21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriously!?Mimi 21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shost sio vizuri kunichekesha asubuhi yote hii!Hahahahaa... miaka 21 nilikua nayo siku nyingi sana
Hahahaaa. Usijali nami pia naamini hivyo.
Karibu. [emoji120] [emoji120]
Umri wa mwanamke huwa hauko kama nyie bwana. Inategemea na unaniuliza kwenye mazingira gani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah sio 21 tena ee
Hatupendi kuzeeka. Kama mimi hapa napanick kweli ninavyoichungulia miaka 30. Sema nimeshaamua ntastick na miaka 27 kwa miaka mitano ijayo. Sura yangu mtu habishi nikimwambia nina miaka 25Wanawake ktk ishu ya umri huwa wanaogopa sana,
Hivi ni kwanini
Natania mkuu.Seriously!?
Miaka 21 nilikua nayo siku nyingi mno. Kama siku 4000 zilizopita[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shost sio vizuri kunichekesha asubuhi yote hii!
Kwahiyo miaka 21 ulikuwa nayo kama siku 213 hiv zilizopita? Kweli zamani....ndio maana siku hizi umekua kua kidogo
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)Wanawake ktk ishu ya umri huwa wanaogopa sana,
Hivi ni kwanini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Haya bana.[emoji28][emoji28][emoji28] mimi tena...mpaka ndani, kwa heshima yako navua viatu
Emmyta ahaaaaa wabibi qako huko nannyirindi wew mdada wa mjini ni janja janja sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Mungu mwema tumevuka salama jukwaan na pita san ww sikuoni mumyHahaaa. Kipwate mie rafiki yako Kibibi ujue. [emoji85]
Ahsante sana nashukuru M'mungu nimeuanza salama kabisa na kwako pia. Mbona umeadimika sana aisee. Vp uko poa?
Hapo sawa, nilipatwa na mshangao na maswali mengi kichwani. Uhali gani? mie niko poaNatania mkuu.
Niko salama kabisa mkuu.Hapo sawa, nilipatwa na mshangao na maswali mengi kichwani. Uhali gani? mie niko poa
Hatupendi kuzeeka. Kama mimi hapa napanick kweli ninavyoichungulia miaka 30. Sema nimeshaamua ntastick na miaka 27 kwa miaka mitano ijayo. Sura yangu mtu habishi nikimwambia nina miaka 25
Basi mimi ni wa tofauti maana kujiongezea umri, huwa ni furaha kwangu. Mwanaume akiniuliza umri lazima nitamtajia uliozidi.Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)
Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.
Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.
Wanawale wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.
Umri wa mwanamke huwa hauko kama nyie bwana. Inategemea na unaniuliza kwenye mazingira gani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio rahisi kukubali umri unakimbia halafu ukiangalia vitu vingi hujatimiza kwenye umri ulionao.Sura yako mimi si ijui, nitumie ni thibitishe ukweli juu ya ulisemalo,
Jambo la msingi ni kujikubali tu, umri ni namba tu
Utakua mdogo weweBasi mimi ni wa tofauti maana kujiongezea umri, huwa ni furaha kwangu. Mwanaume akiniuliza umri lazima nitamtajia uliozidi.
Whaaaat??????Nasikia Faizafoxy ana 22