Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Hahahahaa... miaka 21 nilikua nayo siku nyingi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shost sio vizuri kunichekesha asubuhi yote hii!
Kwahiyo miaka 21 ulikuwa nayo kama siku 213 hiv zilizopita? Kweli zamani....ndio maana siku hizi umekua kua kidogo
 
Miaka 21 nilikua nayo siku nyingi mno. Kama siku 4000 zilizopita
 
Wanawake ktk ishu ya umri huwa wanaogopa sana,
Hivi ni kwanini
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)

Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.

Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.

Wanawake wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.
 
Hahaaa. Kipwate mie rafiki yako Kibibi ujue. [emoji85]

Ahsante sana nashukuru M'mungu nimeuanza salama kabisa na kwako pia. Mbona umeadimika sana aisee. Vp uko poa?
Emmyta ahaaaaa wabibi qako huko nannyirindi wew mdada wa mjini ni janja janja sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....Mungu mwema tumevuka salama jukwaan na pita san ww sikuoni mumy
 
Hatupendi kuzeeka. Kama mimi hapa napanick kweli ninavyoichungulia miaka 30. Sema nimeshaamua ntastick na miaka 27 kwa miaka mitano ijayo. Sura yangu mtu habishi nikimwambia nina miaka 25

Sura yako mimi si ijui, nitumie ni thibitishe ukweli juu ya ulisemalo,

Jambo la msingi ni kujikubali tu, umri ni namba tu
 
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)

Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.

Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.

Wanawale wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.
Basi mimi ni wa tofauti maana kujiongezea umri, huwa ni furaha kwangu. Mwanaume akiniuliza umri lazima nitamtajia uliozidi.
 
Umri wa mwanamke huwa hauko kama nyie bwana. Inategemea na unaniuliza kwenye mazingira gani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwanini usiwe kama sie!!! Kwani nyie umri wenu huwa unaongezeka kwa minus sign alafu sie plus sign!?
 
Back
Top Bottom