Bahatisha umri wa mwanaJF

Wewe 64
 
Comments zetu zina tabia ya kufatana fatana siku za hivi Karibu ni

Uzi unahusu kubashiri umri husika wa member yeyote humu
Wewe 30-35, ukibisha naweka kadi yako ya kliniki hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi , wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Wewe itakuwa 24-27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…