[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Miaka 32 ni mzee?!Usinizeeshe
Ewaaa. Tunakaribiana my dear. Na hii ndio sababu tunaiva chungu kimojaNumbisa 50-60
JF siku hizi wako hadi wenye miaka 9Wakuu...
Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...
Mimi naanza hivi:-
1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23
Haya na wewe tiririka...
Ww itakuwa 20Kuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Hahaahhaa kabisaa shogaangu kuna wengine humu wana vitukuu ila kwa kujitotosha heehehhe hawajambo na wapo wa 20s lakini wana busara na hekima kichwani...Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Hahahaa. Umeonaeee.Hahaahhaa kabisaa shogaangu kuna wengine humu wana vitukuu ila kwa kujitotosha heehehhe hawajambo na wapo wa 20s lakini wana busara na hekima kichwani...
Ewaaa. Tunakaribiana my dear. Na hii ndio sababu tunaiva chungu kimoja
Hahahahaaaa
Huo umri nlikuwa 2003...wakat bado hata jambo haijaanza ikaja kuzaa jamii forums...nadhani enzi hizo tulikuwa tunachat darhotwireWw itakuwa 20
Hebu jaribu kibahatisha yangu, mi wewe hata kabla ya uzi huu nishakuwekaga kwenye 30-34 teh!Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Bila shaka dada ww upo kwenye 42 kwenda mbeleHahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Kama wewe , ni ngumu kukubahatisha kwa kweli.Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Hahahaaa. Japokuwa wengi huo uhenga hawautaki.Kabisa my emmy,sie wahenga
Kumbee Bac shikamooHuo umri nlikuwa 2003...wakat bado hata jambo haijaanza ikaja kuzaa jamii forums...nadhani enzi hizo tulikuwa tunachat darhotwire
Shikamoo bibi, nimetanguliza salamu kwanza mana wewe unachezea 60`sWw itakuwa 20
Ni balaaaHahahaa. Umeonaeee.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Bila shaka dada ww upo kwenye 42 kwenda mbele