Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Wakuu...

Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...

Mimi naanza hivi:-

1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23

Haya na wewe tiririka...
JF siku hizi wako hadi wenye miaka 9
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Hahaahhaa kabisaa shogaangu kuna wengine humu wana vitukuu ila kwa kujitotosha heehehhe hawajambo na wapo wa 20s lakini wana busara na hekima kichwani...
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Hebu jaribu kibahatisha yangu, mi wewe hata kabla ya uzi huu nishakuwekaga kwenye 30-34 teh!
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Kama wewe , ni ngumu kukubahatisha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom