Bahatisha umri wa mwanaJF

Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Wewe 34-39
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…