Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Nyani Ngabu 43
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaahaaaa..... "wanajitotosha"..[emoji12] [emoji12]Hahaahhaa kabisaa shogaangu kuna wengine humu wana vitukuu ila kwa kujitotosha heehehhe hawajambo na wapo wa 20s lakini wana busara na hekima kichwani...
Mjiamini kama mimi umri unajionyesha hakuna haja ya kukadriana.kuna wengine wanajikuza kumbe ndo kwanza wapo chuo frst yr!andika zao tu full shidaa! nashukuru Mungu na miaka yangu 48 si haba !inanitoshea
ah kwan nan hajui wewe una 25!Mjiamini kama mimi umri unajionyesha hakuna haja ya kukadriana.
Kuwa na watoto wanne si sababu ya kuitwa Mzee, nina zaidi ya 50 na nina mtoto mmoja utaniita bint?
Hahaaahaaaa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ww ni mvivu sn miaka 50 mtt mmoja
Aah Wapi! Wazee tumetulia hapa. HahaaaHahaaa kumbe najidogodeshaga humu hadi umenikadiria kidogo hivo, mi mhenga hasa, nakaribia umri wa kustaafu huko[emoji87] [emoji87]
Wewe below 40[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Am 21[emoji12]
Hahahaaa. Kumbe tunakaribiana lol.kuna wengine wanajikuza kumbe ndo kwanza wapo chuo frst yr!andika zao tu full shidaa! nashukuru Mungu na miaka yangu 48 si haba !inanitoshea
Wewe 34-39Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anaandika ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu na walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
haaaaaaaa kwamba emmyta ana 42!!! bas thawa
Hata 21 ni below 40 mkuuWewe below 40[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
lolEeeh naww bila shaka kwenye 27...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Emmytta 27
Demi 31
34-37Hata 21 ni below 40 mkuu
teh teh kwamba tunakariBia MENOPAUSEHahahaaa. Kumbe tunakaribiana lol.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Wewe 34-39
[emoji1] [emoji1] [emoji1] duu 43?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
We mshipa weweeee. Kunidogodesha hivyo ndio nini mie muhenga. Nakaribia 43. Hahaaa