ahhaha usinishushe kias hicho jamani !MBITIYAZA:32yrs[emoji4]
Ukaona age hii ni 23 naona unanitafutia ugomvi na midumee weweNimeona tu hii picha na kiulimi nikaelewa. Hahaaa
Daah,aiseee ulivyounganisha ID NAME,ya m2 kweny sentens yako,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
We mshipa weweeee. Kunidogodesha hivyo ndio nini mie muhenga. Nakaribia 43. Hahaaa
27yrsNasubiri ya kwangu pia sijaona
wewe huzid 27Aisee......
Nitake radhi tafadhali....wewe huzid 27
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanza ungenipa stahiki yangu halafu ukaongeza hili la uvivu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Siwezi kukupa stahiki umeipunja dunia watu dada yangu
Na ana miaka 42.Nakaribia menopose kabisa ulisahau.Kuna mtu anajiita Ms.Lincoln lkn ana watt 4
ah wapi !ndo nimesema na mie mhenga najuaNitake radhi tafadhali....
Sawa muhenga mwenzangukuna wengine wanajikuza kumbe ndo kwanza wapo chuo frst yr!andika zao tu full shidaa! nashukuru Mungu na miaka yangu 48 si haba !inanitoshea
Wachana na huyo.Anawashwa washwa.Kuwa na watoto wanne si sababu ya kuitwa Mzee, nina zaidi ya 50 na nina mtoto mmoja utaniita bint?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Wachana na huyo.Anawashwa washwa.
Kashangae feli,sindano inazama,meli inaelea.Aisee......
Wewe utakuwa 26 mwaka huuDeadybody:24-26[emoji4]
23-25[emoji4]
Ntakukunia steel wire.Hehehehehe
Nimezaliwa tarehe 21/01/1941.ah wapi !ndo nimesema na mie mhenga najua