Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sawa mjukuu. Ushafikisha miaka 18?Kashangae feli,sindano inazama,meli inaelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mjukuu. Ushafikisha miaka 18?Kashangae feli,sindano inazama,meli inaelea.
Ntakukunia steel wire.
Hapana.Sawa mjukuu. Ushafikisha miaka 18?
Ngoja waje mkuuNasubiri ya kwangu pia sijaona
Nimezaliwa tarehe 21/01/1941.
Hehehehehe
Bahati mbaya nina kadi ya TANU tu.Wela cheti kama kisandu
Umepunguza kidgo,huo umri WA Mdgo Ang anae nifwata,mm muhenga kidgo mkuuWewe utakuwa 26 mwaka huu
Bahati mbaya nina kadi ya TANU tu.
Mjane wa Kolimba.Gelfrendi wa Kingunge
Mkuu nitake radhi hiyo age ya mtoto wangu wa kwanza
Mimi na Aspirin tuko kwenye 70+wewe huzid 27
Wachana na huyo.Anawashwa washwa.
Sawa.Ulitakiwa uwe na mtaa kama Bibi titi Mohamed
Babu hana madhara kwa mjukuu... Labda itokee tu.Hapana.
Nina miaka 17,usinizoee,jela inakuita.
Mwaka huu nagonga miaka 77Mimi na Aspirin tuko kwenye 70+
Ndio muanzage kusalimia baba na mama zenu humu jfKumbe watoto tupo wengi humu jf