Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,773
Reaction score
6,349
Wakuu...

Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...

Mimi naanza hivi:-

1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23

Haya na wewe tiririka...
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi , wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
 
Back
Top Bottom