Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,020
Marhabaaaaaaaa mjukuu wanguShikamoo bibi, nimetanguliza salamu kwanza mana wewe unachezea 60`s
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhabaaaaaaaa mjukuu wanguShikamoo bibi, nimetanguliza salamu kwanza mana wewe unachezea 60`s
Kuanzia 30 jua linakaribia kuzamaMiaka 32 ni mzee?!
Mie nachezea 40 kwenda mbele. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hebu jaribu kibahatisha yangu, mi wewe hata kabla ya uzi huu nishakuwekaga kwenye 30-34 teh!
Kuanzia 40...mm nkifikisha miaka hiyo hata insta najitoa tu mwisho nije kukutana na mwanangu kwny page za ajabu bureKuanzia 30 jua linakaribia kuzama
Hahahaaa. Nabahatishika bana we nibahatishe tu.Kama wewe , ni ngumu kukubahatisha kwa kweli.
wewe hutoki kwenye 27-32Hahahaaa. Nabahatishika bana we nibahatishe tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85]wewe hutoki kwenye 27-32
Hahahaaa. Japokuwa wengi huo uhenga hawautaki.
Wacha tupambane nao.
Hayo mateso maana itabidi muda wote wadanganye umri walionao,wakijisahau tu wanaumbuka vibaya
Kisandu kaweka borth certificate humu leo kuthibitisha uraiaDeo kisandu atakuwa na 49
Wewe 21Mimi je
Wewe 21
Kuwa na watoto wanne si sababu ya kuitwa Mzee, nina zaidi ya 50 na nina mtoto mmoja utaniita bint?Kuna mtu anajiita Ms.Lincoln lkn ana watt 4
Kuwa na watoto wanne si sababu ya kuitwa Mzee, nina zaidi ya 50 na nina mtoto mmoja utaniita bint?