Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Haha ukimkadria mtu kwenye 25+ anabisha kinoma
Hahahaa. Ujue humu kila kitu ni fake hivyo hata miaka hatuwezi sema ile sahihi hata kama mtu atakaribia na ukweli au atakuwa mbali na ukweli ili kuendeleza ule ufake wetu.

Na kila mmoja ukweli wake anabaki nao mwenyewe moyoni mwake kama yalivyo kwenye majina na hata jinsia hivyo yaani Swahiba.

Hivyo kubali tu miaka yetu. Hahahaaaa.
 
Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.

Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
haha emmyta 100
 
Hahahaa. Ujue humu kila kitu ni fake hivyo hata miaka hatuwezi sema ile sahihi hata kama mtu atakaribia na ukweli au atakuwa mbali na ukweli ili kuendeleza ule ufake wetu.

Na kila mmoja ukweli wake anabaki nao mwenyewe moyoni mwake kama yalivyo kwenye majina na hata jinsia hivyo yaani Swahiba.

Hivyo kubali tu miaka yetu. Hahahaaaa.
Kwakweli swahiba
 
Back
Top Bottom