D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Metakelfin 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Le Mutuz - 21
Mbona nakaribia kukufahamu, dogo kasema mmecheza wote nisiendelee sana ukanijuaKumbe mwaka gani?
Wewe utakuwa 40-50.Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi na wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Wewe una 27
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Ewaaa. Tunakaribiana my dear. Na hii ndio sababu tunaiva chungu kimoja
Hahahahaaaa
Aaa wapi.... utasubiri sana. Yawezekana nimesoma na baba yako.Mbona nakaribia kukufahamu, dogo kasema mmecheza wote nisiendelee sana ukanijua
Wewe itakuwa.....??Ww itakuwa 20
Mh! Haya basi 35Umri huo nlikuwa nao kabla kikwete hajamaliza kipindi chake cha kwanza cha urais
Wewe utakuwa una 37-40 mkuuWewe itakuwa.....??
Bila shaka dada ww upo kwenye 42 kwenda mbele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Haswaaaaa.
Mh! Haya basi 35
Hukumbuki kama kililiwa na panya Dada yangu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85]
Ntarudi ngoja nikaangalie Cheti changu cha Kuzaliwa kinasemaje. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Melo yupo 41 sasa anafukuzia 42.Mexcence Melo atakuwa na 38
Bahatisha umri wangu
Hahahhahahahaha. Labda wadogo kifikraKuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa