Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Thanks dearCongrats dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks dearCongrats dear
Ana mingapi kwani?Umemshusha mno duu
Mwenza umeona alivyopatia eeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe 64Wakuu...
Kwa kuangalia AVATAR, hoja/mada na namna ya uchangiaji wa mwana JF mmoja mmoja; unaweza kusema huyu atakuwa mzee wa miaka kadhaa, binti mbichi kabisa, kijana au mtu mzima wa umri huu...
Mimi naanza hivi:-
1. witnessj -miaka 30
2. Demiss - miaka 23
Haya na wewe tiririka...
Hahhahaa. Umenizeesha aisee. Bado kabisaWewe 64
Tuma picha yakoHahhahaa. Umenizeesha aisee. Bado kabisa
Eeh bwana...Mwenza umeona alivyopatia eeh?
Outkapeace 24
Comments zetu zina tabia ya kufatana fatana siku za hivi Karibu niMbona sielewi huu uzi
Kigagula huyo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mi kigagula kweli unadhani mimi mwenzioKigagula huyo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
wewe 23-29 bisha[emoji87] [emoji87] [emoji87]Ww itakuwa 20
Wewe 30-35, ukibisha naweka kadi yako ya kliniki hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Comments zetu zina tabia ya kufatana fatana siku za hivi Karibu ni
Uzi unahusu kubashiri umri husika wa member yeyote humu
Huu wa kwako wewewewe 23-29 bisha[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Baby wangu najua uko kwenye....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejua kunichekesha leo
aseeh [emoji144] [emoji144] [emoji144]Huu wa kwako wewe
Wewe itakuwa 24-27Hahahaaa. Kwa kuangalia maandishi , wengi watachemsha aisee sababu unaweza kuta mtu anamaandishi ya kikubwa ila ni mdogo. Na kuna wakubwa nao lakini wakiwa humu wanakuwa na akili kama watoto.
Hivyo tabu tupu kwa walio wengi ni ngumu kuwabahatisha.
Unataka kusemajeaseeh [emoji144] [emoji144] [emoji144]