KERO BAHI, Kata ya CHIBELELA, Mtaa wa Jamhuri - Dodoma kila siku umeme unakatika Saa 1 Usiku

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Napatikana Mkoa wa DODOMA, Wilaya ya BAHI, Kata ya CHIBELELA, Mtaa wa JAMHURI, kero yangu ni kwa TANESCO, kila siku ikifika saa moja usiku umeme unakatika, na kurejea Saa tano usiku.

Hii lilianza tangu Machi 2026, tuliwasilisha tatizo hilo kwa huduma kwa wateja TANESCO, tumeendelea kuwa na changamoto hadi sasa, hata tunapotoa ripoti hakuna aliyetatua.

Sasa hivi ikifika saa kumi na mbili jioni tunakuwa na wasiwasi wa kuunguza vifaa vinavyotumia umeme au nyumba zetu kuungua moto, tumechoka na tuna wasiwasi mkubwa sanaaa.

Ukiripoti wanatuma ujumbe kwenye simu kuwa TANESCO imetatua changamoto lakini ikifika siku ya pili mida ileile umeme unakatika na kurudi mpaka saa tano usiku.
 
Pole kwa changamoto hiyo ndugu mteja wetu,

Taarifa yako tumeipokea kwa umuhimu mkubwa, tunaifuatilia na tutakupatia mrejesho wa sababu ya changamoto hiyo na hatua za utatuzi zinazoendelea ili kuhakikisha unapata huduma unayotarajia.

Asante.^FL
 
Hongera sana TANESCO, ama kwa hakika kitengo cha customer care mpo vizuri. Natamani mashirika mengine yangekuwa kama TANESCO,

Maccavel01, asante kwa pongezi, tafadhali endelea kufurahia huduma zetu. TANESCO tunayaangaza maisha yako.^FL
 
Napatikana Mkoa wa DODOMA, Wilaya ya BAHI, Kata ya CHIBELELA, Mtaa wa JAMHURI, kero yangu ni kwa TANESCO, kila siku ikifika saa moja usiku umeme unakatika, na kurejea Saa tano usiku.

Hii lilianza tangu Machi 2026, tuliwasilisha tatizo hilo kwa huduma kwa wateja TANESCO, tumeendelea kuwa na changamoto hadi sasa, hata tunapotoa ripoti hakuna aliyetatua.

Sasa hivi ikifika saa kumi na mbili jioni tunakuwa na wasiwasi wa kuunguza vifaa vinavyotumia umeme au nyumba zetu kuungua moto, tumechoka na tuna wasiwasi mkubwa sanaaa.

Ukiripoti wanatuma ujumbe kwenye simu kuwa TANESCO imetatua changamoto lakini ikifika siku ya pili mida ileile umeme unakatika na kurudi mpaka saa tano usiku.

Habar, ndugu mteja.

Tunaomba tukupe mrejesho kuhusu kuimarisha upatikanaji wa umeme kwenye eneo lako.

Tafadhali fahamu kuwa tayari hatua zimeshachukuliwa na jumamosi utekelezaji wake utaanza.

Hivyo tunaomba uvumilivu wako wakati utatuzi ukiwa unaendelea.

Asante. ^FL
 
Back
Top Bottom