A
Pole kwa changamoto hiyo ndugu mteja wetu,Napatikana Mkoa wa DODOMA, Wilaya ya BAHI, Kata ya CHIBELELA, Mtaa wa JAMHURI, kero yangu ni kwa TANESCO, kila siku ikifika saa moja usiku umeme unakatika, na kurejea Saa tano usiku.
Hii lilianza tangu Machi 2026, tuliwasilisha tatizo hilo kwa huduma kwa wateja TANESCO, tumeendelea kuwa na changamoto hadi sasa, hata tunapotoa ripoti hakuna aliyetatua.
Sasa hivi ikifika saa kumi na mbili jioni tunakuwa na wasiwasi wa kuunguza vifaa vinavyotumia umeme au nyumba zetu kuungua moto, tumechoka na tuna wasiwasi mkubwa sanaaa.
Ukiripoti wanatuma ujumbe kwenye simu kuwa TANESCO imetatua changamoto lakini ikifika siku ya pili mida ileile umeme unakatika na kurudi mpaka saa tano usiku.
Pole kwa changamoto hiyo ndugu mteja wetu,
Taarifa yako tumeipokea kwa umuhimu mkubwa, tunaifuatilia na tutakupatia mrejesho wa sababu ya changamoto hiyo na hatua za utatuzi zinazoendelea ili kuhakikisha unapata huduma unayotarajia.
Asante.^FL
Maccavel01, asante kwa pongezi, tafadhali endelea kufurahia huduma zetu. TANESCO tunayaangaza maisha yako.^FLHongera sana TANESCO, ama kwa hakika kitengo cha customer care mpo vizuri. Natamani mashirika mengine yangekuwa kama TANESCO,
Napatikana Mkoa wa DODOMA, Wilaya ya BAHI, Kata ya CHIBELELA, Mtaa wa JAMHURI, kero yangu ni kwa TANESCO, kila siku ikifika saa moja usiku umeme unakatika, na kurejea Saa tano usiku.